Vijana wa ofa wakiwa mazoezini

Nyota wa kituo cha kukuza vipaji vya soka kwa vijana nchini ORANGE FOOTBALL ACADEMY   wanaendelea vizuri na mazoezi ktika kiwanja cha Mao B  kujiandaa na ligi za vijana zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni.
vikosi vyote vimekamilika vizuri tarari kutoa burudani safi msimu huu ambapo utakuwa na ushindani mkubwa kutokana na kila timu kufanya usajili wa nguvu kwaajili ya mashindano.