MATOKEO YA MECHI ZA KIRAFIKI O.F.A

KITUO CHA O.F.A KIMEJIPANGA VYEMA MSIMU HUU KWA  MAZOEZI YA VIJANA WAKE NA BAADHI YA MECHI ZA KIRAFIKI KATIKA KUHAKIKISHA KINAZALISHA NJOTA WAPYA WENYE VIPAJI VYA HALI JUU KWAAJILI YA MAENDELEO YA SOKA NCHINI PICHANI NI BAADHI YA PICHA MBALIMBALI ZA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA NEW VISSION ZILIZOFANYIKA KATIKA KIWANJA  CHA MAO TSE TONG B, VIJANA WA U16 NA U19 TAYARI MECHI TATU ZA KIRAFIKI WAMESHACHEZA NA MATOKEO NI:-
 
U -16 OFA 4 - 3 BARCELONA
U -16 OFA 1 - 1 ASTON VILLA
U -16 OFA 1 - 0 SAP SOAP
 
U -19 OFA 3 - 3 YIFOZA
U -19 OFA 1 - SHANGANI F.C
U -19 OFA 1 - 0 NEW VISSION
 
VIJANA WA ORANGE FOOTBALL ACADEMY WAKIWA KATIKA MAZOEZI YA MECHI YA KIRAFIKI NA TIMU YA NEW VISION LEO KATIKA KIWANJA CHA MAO SAA 10:30 MATOKEO OFA 1 - 0 NEW VISSION, ORANGE IMETUMIA WACHEZAJI WAKE AMBAO TAYARI WAMESHAPITISHA KATIKA ZOEZI LA UPITISHAJI WACHEZAJI KWA DARAJA LA CENTRAL. NAAMINI MASHAABIKI MMEFURAHIA MCHEZO SAFI WA LEO NA MATOKEO YA MECHI HIYO TUPO PAMOJA KWA SANA,..
LEO JUMAPILI TAREHE 15/9/2013 VIJANA WA KITUO CHA ORANGE FOOTBALL ACADEMY (OFA) WAMECHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA TIMU YA NEW VISSION NA MATOKEO ORANGE FOOTBALL ACADEMY 1 - 0 NEW VISSION, GOLI LA ORANGE (OFA) LIMEFUNGWA NA MCHEZAJI NASSOR SALIM (YOUNG) DAKIKA 25, VIJANA WA OFA WALIONYESHA UWEZO WA HALI YA JUU KATIKA MECHI HIYO LICHA YA WAPINZNAI WAO NEW VISSION KUTAKA KUREJESHA GOLI HILO NA KUHIMILI VISHINDO VYA OFA LAKINI WALISHINDWA MBELE YA VIJANA WA OFA LEO WALIONYESHA KIWANGO CHA HALI YA JUU.
 

4. Abdül-swämäd Müssa Allïy
5. Mjaka
6. Abdulrazak (D Jong)
7. Mukrim
8. Tatii
9. Jaffar
10. Ali
11. Abdulrahman Gerad

On the Bech (OFA)
1. Mahmoud 
2. Adam Ali (Edo)
3. Haroub 
4. Abeid

Super Coach
Hashim Ali