O.F.A SHAMBA LA VIPAJI VYA SOKA NCHINI

Vijana wa kituo cha Orange Football Academy (O.F.A) wakiwa katika maandalizi mazuri ya kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijana. Kituo hicho cha O.F.A kimepokea ugeni wa ujio wa kocha Mfaransa Mr. Patrick Liewing akiambatana na maafisa wa kampuni ya Afrisoccer kampuni ambayo ni washirika (Partnership)  wakuu wa kituo cha Orange Football Academy (O.F.A). 
 
mjue kijana mahiri na hodari wa kulea na kukuza pamoja na kuendeleza vipaji vya vijana kupitia kituo cha Orange Football Academy (o.f.a) si mwengine ni Hashim Kibabu.