U17 Yalala Katika Nne Bora

Vijana Wa Orange Football Academy Jana Jumamosi Tarehe 8/6/2013 Wameanza Vibaya Nne Bora Baada Ya Kukubali Kipigo Cha 1 - 0 Dhidi Ya Timu Ya Simba Kids

Kosa Lilifanywa Na Mchezaji Omar Ramadhan Wa O.F.A Liliwakosesha Furaha Wachezaji, Viongozi Na Mashabiki Watimu Ya Orange Kwani Mchezo Ulikuwa Ni Mkali Kwa Pande Zote Mbili Na Kosa Hilo Lililozaa Bao Kuikosesha Ushindi Muhimu Wa Ligi Hio.

Matokeo Ya Mechi Za Leo Round. No. 1

Totenham 1 V/S 0   F.C Cardif Saa 2:00

Simba Kids 1 V/S 0  O.F.A  Saa 4:00

Kocha Hashim  Ahmada Amewasisitiza Vijana Wake Kuwa Makini Na Kuongeza Ari Katika Mechi Ijayo Ili Kuweza Kubakia Na Resi Hizo Za Nne Bora.