FAINALI ZA LIGI JUVENILE NA JUNIOR 2012-2013

 
Wachezaji wa timu ya Barcelona wakipita mbele ya mgeni rasmi Mwenyekiti wa  Z F A wilaya ya mjini ndugu Hassan Haji (Chura)
 
 

Mwenyekiti akimkabidhi zawadi nahodha wa timu ya Barcelona
 
 
 
Wachezaji wa El hilal wakivishwa medali na mgeni rasmi
 

 

 

Mgeni rasmi akikabidhi kikombe na fedha taslim shilingi laki mbili kwa timu Bingwa  kwa Daraja la vijana Juvenile timu ya El hilal

 

Wachezaji wa O F A wakisubiri kupokea zawadi yao ya mshindi wa pili

 

Mgeni rasmi Mh Ali Salum Mwakilishi wa Jimbo la kwahani akimkabidhi zawadi ya mshindi wa 2 kepteni wa OFA